• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2020

  LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA LEVERKUSEN 2-1


  NYOTA wa Bayern Munich, Robert Lewandowski na Manuel Neuer jana walipewa heshima kwa ushindi wao wa tuzo za FIFA, huku timu yao ikiichapa Bayer Leverkusen 2-1 katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa BayArena.
  Bayer Leverkusen ilitangulia kwa bao la Patrik Schick dakika ya 14 kabla ya Lewandowski kusawazisha dakika ya 43 na kufunga la pili dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo, Bayern Munich inafikisha pointi 30 na kuendelea kuongoza Bundesliga kwa pointi mbili zaidi ya Bayer Leverkusen baada ya wote kucheza mechi 13 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA LEVERKUSEN 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top