• HABARI MPYA

  Friday, December 25, 2020

  SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6


  KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Dar es Salaam kutoka Zimbabwe ambako Jumatano walichapwa 1-0 na wenyeji, FC Platinums jana Uwanja wa Taifa wa Harare katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa.

  Simba SC inaelekeza nguvu zake katika mchezo wa marudiano Januari 6 Uwanja wa Mkapa – ikihitaji ushindi wa 2-0 ili kuingia hatua ya makundi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top