• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 28, 2020

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM ANFIELD


  BAO la dakika ya 89 la la Sam Johnstone liliwasaidia wageni, West Bromwich Albion kupata sare ya 1-1na wenyeji na mabingwa watetezi, Liverpool waliotangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 12 Uwanja wa Anfield.
  Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 32 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu zaidi ya Everton baada ya wote kucheza mechi 15
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top