• HABARI MPYA

  Friday, December 18, 2020

  LEWANDOWSKI ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA  MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Mpoland huyo akiwashinda Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
  Beki wa zamani wa Lyon, Lucy Bronze ameshinda tuzo hiyo upande wa wanawake baada ya wachezaji hao wawili kuziwezesha klabu zao kushinda mataji matatu matatu msimu wa 2019/20.
  Lewandowski alishinda Bundesliga, DFB-Pokal na Champions League akiwa na Bayern, wakati Bronze alishinda Ligue 1, Coupe de France na Champions League PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top