• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 10, 2020

  AGUERO AREJEA NA BAO MAN CITY YAICHAPA MARSEILLE 3-0


  MABAO ya Ferran Torres dakika ya 48, Sergio Aguero dakika ya 77 na Alvaro Gonzalez aliyejifunga dakika ya 90 yaliipa ushindi wa 3-0 Manchester City dhidi ya Marseille kwenye mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Etihad. 
  Kwa ushindi huo, Man City imemaliza na pointi 16 na kuongoza kundi hilo kwa pointi tatu zaidi ya Porto FC na zote zinakwenda 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AREJEA NA BAO MAN CITY YAICHAPA MARSEILLE 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top