• HABARI MPYA

  Thursday, December 31, 2020

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE TENA, 0-0 NA NEWCASTLE UNITED


  Liverpool imelazimishwa sare ya bila kufungana na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park.
  Sare hiyo inaifanya Liverpool ifikishe pointi 33 baada ya kucheza mechi 16 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu zaidi ya mahasimu wao, Manchester United ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE TENA, 0-0 NA NEWCASTLE UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top