NAYE Cristiano Ronaldo akakosa penalti kipindi cha pili Juventus wakilazimishwa sare ya 1-1 na Atalanta katika Serie A siku ambayo Federico Chiesa alianza kuwafungia Juve dakika ya 29, kabla ya Remo Freuler kuisawazishia Atalanta dakika ya 12 ya kipindi cha pili PICHA ZAIDI GONGAHAPA
Jubilant Man City fans stream onto Etihad turf in pitch invasion leaving Pep Guardiola in tears
-
City fans were told to get off the Etihad Stadium pitch after they became
the latest set of supporters to invade the playing surface after watching
their t...
Dakika 3 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni