• HABARI MPYA

  Monday, December 14, 2020

  XHAKA NYEKUNDU, AUBAMEYANG AJIFUNGA ARSENAL YAPIGWA


  Granit Xhaka wa Arsenal (kulia) akimkunja Ashley Westwood wa Burnley kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 56 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates, London. Burnley ilishinda 1-0,  bao la kujifunga na Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang
   dakika ya 73 

    


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: XHAKA NYEKUNDU, AUBAMEYANG AJIFUNGA ARSENAL YAPIGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top