• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 20, 2020

  RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA PARMA 4-0 SERIE A


  MRENO Cristiano Ronaldo (35) jana amefunga mabao mawili kuiwezesha Juventus kuibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Parma katika Serie A Uwanja wa Ennio Tardini, mabao mengine yakifungwa na Dejan Kulusevski na Alvaro Morata.
  Ushindi huo unaifanya Juve ifikishe pointi 27 baada ya mechi 13 na kupanda nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi moja moja na zote, AC Milan na Inter Milan ambazo hata hivyo zimecheza mech 12, wakati Parma 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI JUVENTUS YAICHAPA PARMA 4-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top