• HABARI MPYA

  Wednesday, December 30, 2020

  BARCELONA WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EIBAR LA LIGA


  Ousmane Dembele akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 67 katika sare ya 1-1 na Eibar iliyotangulia kwa bao la Kike dakika ya 57 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EIBAR LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top