• HABARI MPYA

  Wednesday, December 23, 2020

  FIORENTINA YAITANDIKA JUVENTUS MABAO 3-0 KATIKA SERIE A


  Fiorentina ilishinda 3-0 dhidi ya Juventus iliyomaliza pungufu baada ya Juan Cuadrado kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa Serie A Jijini Turin, mabao ya Dusan Vlahovic, Alex Sandro aliyejifunga na Martin Caceres
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIORENTINA YAITANDIKA JUVENTUS MABAO 3-0 KATIKA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top