• HABARI MPYA

  Friday, December 18, 2020

  MBWANA SAMATTA AANZA MAZOEZI MEPESI UTURUKI BAADA YA KUWA NJE ZAIDI YA MWEZI KWA MAUMIVU


  BAADA ya kuwa nje kwa zaidi ya mwezi akisumbuliwa na maumivu, mshambuliaji wa kimataifa, Mbwana Ally Samatta anayechezea Fenerbahce ya Uturuki meanza mazoezi mepesi. Samatta amechea mechi saba tu na kufunga mabao mawili tangu asajiliwe Fenerbahce msimu huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA AANZA MAZOEZI MEPESI UTURUKI BAADA YA KUWA NJE ZAIDI YA MWEZI KWA MAUMIVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top