• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 11, 2020

  SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU

  TANZANIA itafungua dimba na wenyeji, Rwanda kwenye michuano ya CECAFA U20 inayotarajiwa kuanza kesho hadi Desemba 22 huko Rubavu.
  Serengeti Boys watateremka Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu Jumatatu kucheza na Rwanda kabla ya kurudi tena uwanjani hapo Desemba 17 kumenyana na Djibouti.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top