• HABARI MPYA

  Thursday, December 17, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1 NA KUPANDA KILELENI ENGLAND


  MABINGWA watetezi, Liverpool FC usiku wa jana wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur FC Uwanja wa Anfield.
  Mohamed Salah aliifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 26 na  Roberto Firmino akafunga la ushindi dakika ya 90 baada ya Son Heung-Min kuisawazishia Spurs dakika ya 33.
  Sasa Liverpool ina pointi 28, tatu zaidi ya Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi 13
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA SPURS 2-1 NA KUPANDA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top