• HABARI MPYA

  Wednesday, December 30, 2020

  MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 BAO PEKEE LA RASHFORD


  Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Venue Old Trafford. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 30 na kurejea nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 15
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 BAO PEKEE LA RASHFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top