• HABARI MPYA

  Thursday, December 10, 2020

  BENZEMA AIPELEKA REAL MADRID 16 BORA LIGI YA MABINGWA


  MABAO ya Karim Benzema dakika ya tisa na 31 jana yaliia Real Madrid ushindi wa 2-1 dhidi ya beat Borussia Monchengladbach kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Alfredo Di Stéfano.
  Ushindi huo unaifanya timu ya kocha Mfaransa,  Zinedine Zidane imalize na pointi 10, mbili zaidi ya Borussia Monchengladbach na Shakhtar Donetsk, huku Inter Milan ikishika mkia kwa pointi zake sita. Borussia Monchengladbach imeungana na Real Madrid kusonga mbele ya Hatua ya 16 Bora ikiizidi Shakhtar Donetsk wastani wa mabao 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA AIPELEKA REAL MADRID 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top