• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 14, 2020

  SALAH AISAWAZISHA LIVERPOOL KWA PENALTI YATOA SARE NA FULHAM


  Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akiifungia bao la kusawazisha Liverpool kwa penalti dakika ya 79 baada ya Bobby Decordova-Reid kuanza kuwafungia Fulham dakika ya 25 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AISAWAZISHA LIVERPOOL KWA PENALTI YATOA SARE NA FULHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top