KIUNGO MKONGWE, MNYARWANDA HARUNA NIYONZIMA ASAINI MKATABA WA KUENDELEA NA KAZI YANGA
Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said akiwa na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima baada ya mchezaji huyo kusaini mkataba mpya wa kuendelea kufanya kazi Jangwani
0 comments:
Post a Comment