• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 30, 2020

  LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX


  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 66, kiasi cha sekunde 21 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Martinelli katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion Uwanja wa Amex
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top