• HABARI MPYA

  Thursday, December 10, 2020

  MABINGWA BAYERN MUNICH WAMALIZA NA USHINDI WA 2-0


  MABAO ya Niklas Sule dakika ya na Eric-Maxim Choupo-Moting dakika ya jana yaliwapa mabingwa watetezi, Bayern Munich ushindi wa 2-0 dhidi ya Lokomotiv Moscow kwenye mchezo wa Kundi A Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich.
  Kwa ushindi huo, Bayern Munich inamaliza na pointi 16 na kuongoza Kundi kwa pointi saba zaidi ya Atletico Madrid iliyomaliza nafasi ya pili na zote zinakwenda Hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINGWA BAYERN MUNICH WAMALIZA NA USHINDI WA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top