• HABARI MPYA

  Friday, December 11, 2020

  SIMON MSUVA AANZA KUJIFUA NA KLABU YAKE MPYA, WYDAD CASABLANCA NCHINI MOROCCO  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akiwa na timu yake mpya, Wydad Athletic jana Jijini Casablanca nchini Morocco 

  Simon Happygod Msuva (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa timu yake mpya, Wydad Athletic jana 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA AANZA KUJIFUA NA KLABU YAKE MPYA, WYDAD CASABLANCA NCHINI MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top