• HABARI MPYA

  Wednesday, December 16, 2020

  MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROMWKCH


  Manchester City jana imelazimishwa sare ya 1-1 na West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad.
  Ilkay Gundogan alianza kuifungia Manchester City dakika ya 30 akimalizia kazi nzuri ya Raheem Sterling, kabla ya Ruben Dias kujifunga kuisawazishia Man City dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROMWKCH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top