• HABARI MPYA

  Saturday, December 19, 2020

  STERLING AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY YAILAZA 1-0 SOUTHAMPTON


  Raheem Sterling amefunga bao pekee dakika ya 16 Manchester City ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary, Hampshire.
  Kwa ushindi huo Manchester City wanafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 13 na kupanda hadi nafasi ya tano kutoka ya tisa, wakizidiwa pointi moja na Southampton ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY YAILAZA 1-0 SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top