• HABARI MPYA

  Thursday, December 24, 2020

  AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO


  MSHAMBULIAJi mpya wa Azam FC, Mpiana Monzinzi, jana alianza mazoezi muda mfupi baada kusaini mkataba wa mwaka mmoja kutoka St. Eloi Lupopo Lupopo FC ya kwao, DRC akichukua nafasi ya Mcameroon Thierry Akono aliyeuzwa Negeri Sembilan ya Malaysia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top