• HABARI MPYA

  Monday, December 21, 2020

  REAL MADRID WASHINDA 3-1 NA KUPANDA NAFASI YA PILI LA LIGA


  MABAO ya Karim Benzema, Luka Modric na Lucas Vazquez yameipa ushindi wa 3-1 Real Madrid dhidi ya Eibar ambayo bao lake lilifungwa na Kike kwenye mchezo wa LaLiga usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Ipurúa, 
  Kwa ushindi huo katika mchezo wa 14 wa msimu, kikosi cha Zinedine Zidane kinafikisha pointi 29 sawa na vinara, Atletico Madrid ambao lakini wana mechi mbili mkononi
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID WASHINDA 3-1 NA KUPANDA NAFASI YA PILI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top