• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 11, 2020

  KOCHA MPYA, MZAMBIA GEORGE LWANDAMINA AANZA KAZI YA KUKINOA KIKOSI CHA AZAM FC CHAMAZI

  Kocha mpya wa Azam FC, George Lwandamina 'Chicken', jana ameanza rasmi ya kufundisha timu hiyo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kufuatia kusiani mkataba wa mwaka mmoja.

  Lwandamina kabla ya kuanza majukumu yake hayo, alikuwa akiwamulika wachezaji wake mazoezini na kwenye mechi mbili zilizopita (Biashara United, Gwambina) ili kuwafahamu. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA, MZAMBIA GEORGE LWANDAMINA AANZA KAZI YA KUKINOA KIKOSI CHA AZAM FC CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top