• HABARI MPYA

  Thursday, December 17, 2020

  AUBAMEYANG AISAWAZISHIA ARSENAL 1-1 NA SOUTHAMPTON


  Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 52 kufuatia Theo Walcott kuifungia bao la kuongoza Southampton dakika ya 18 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Emirates, London
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AISAWAZISHIA ARSENAL 1-1 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top