• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 17, 2020

  LEWANDOWSKI AFIKISHA MABAO 250 BUNDESLIGA BAYERN YASHINDA2-1


  MSHAMBULIAJI Robert Lewandowski jana amekuwa mchezaji wa tatu katika historia ya Bundesliga kufikisha mabao 250 baada ya Mpoland huyo kufunga mabao mawili Bayern Munich ikiichapa Wolfsburg 2-1, bao la wageni likifungwa na Maximilian Philipp.
  Lewandowski aliyefunga mabao yake 74 ya awali Bundesliga akiwa na Borussia Dortmund, anaungana na gwiji wa Bayern, Gerd Muller na Klaus Fischer – nyota wa zamani wa Schalke  – katika orodha ya wachezaji pekee waliofunga mabao 250 Bundesliga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AFIKISHA MABAO 250 BUNDESLIGA BAYERN YASHINDA2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top