• HABARI MPYA

  Sunday, December 13, 2020

  EVERTON WAIADHIBU CHELSEA, WAICHAPA 1-0 GOODISON PARK


  Gylfi Sigurdsson's (kulia) akiifungia bao pekee kwa penalti Everton dakika ya 22 ikiwalaza Chelsea 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park jana 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON WAIADHIBU CHELSEA, WAICHAPA 1-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top