• HABARI MPYA

  Thursday, December 17, 2020

  BARCELONA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 LA LIGA CAMP NOU


  TIMU ya Barcelona jana imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Willian Jose alianza kuifungia  Real Sociedad dakika ya 27, kabla ya Jordi Alba kuisawazishia Barca dakika ya 31 na Frenkie de Jong kufunga la ushindi dakika ya 43
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 LA LIGA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top