• HABARI MPYA

  Sunday, December 13, 2020

  REAL MADRID YAWAPIGA ATLETICO 2-0 LA LIGA NA KUJIVUTA JUU


  MABAO ya Casemiro dakika ya 15 na Jan Oblak aliyejifunga dakika ya 63 jana yaliipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Alfredo di Stefano.
  Real Madrid inafikisha pointi 23 baada ya mechi 12 na kupanda nafasi ya tatu, sasa ikizidiwa pointi tatu na Atletico Madrid ambayo hata hivyo imecheza mechi 11  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAWAPIGA ATLETICO 2-0 LA LIGA NA KUJIVUTA JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top