• HABARI MPYA

  Thursday, December 10, 2020

  BODI YA LIGI YAANDAA WARSHA MAALUM KUWAJENGEA UWEZO MAKATIBU NA WATENDAJI WA KLABU

   


  BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imeandaa warsha ya siku tatu kwa ajili ya kuwajengea uwezo Watendaji na Makatibu Wakuu wa klabu za Ligi Kuu ambayo itaendeshwa na wataalamu wa La Liga.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAANDAA WARSHA MAALUM KUWAJENGEA UWEZO MAKATIBU NA WATENDAJI WA KLABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top