• HABARI MPYA

  Thursday, December 17, 2020

  NAMUNGO WAWEKA KAMBI ZANZIBAR KUJIANDAA KUWAVAA AL HILAL OBAYED JUMATANO IJAYO CHAMAZI  WAWAKILISHi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho wameondoka jana kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza  wa Raundi ya Pili ya michuano hiyo dhidi ya Al Hilal Obayed ya Sudan JUmatano ijayo Uwanja wa Azam Comlex, Chamazi, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO WAWEKA KAMBI ZANZIBAR KUJIANDAA KUWAVAA AL HILAL OBAYED JUMATANO IJAYO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top