• HABARI MPYA

  Tuesday, December 29, 2020

  METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA AISHI MANULA NA DANIEL MGORE TAIFA STARS YA CHAN

  KIPA namba wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata hajaorodheshwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza maandalizi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN).
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA AISHI MANULA NA DANIEL MGORE TAIFA STARS YA CHAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top