• HABARI MPYA

  Tuesday, December 29, 2020

  SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AFUNGA BAO BAO PEKEE YASHINDA 1-0 MOROCCO

  HABARI njema zaidi ni kwamba – Simon Msuva si tu mchezaji pale Wydad bali ni ‘Supa Staa’ baada ya vitu alivyofanya muda mfupi tu wa kuwa na timu hiyoaliyojiunga nayo mwezi huu kutoka Difaa El jadida ya Morocco pia.

  Mwishoni Jumamosi alifunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Maghreb Fès, hilo likiwa bao la pili tangu ajiunge na timu hiyo – baada ya kufunga pia katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hassania Agadir Desemba 19.

  Kwa matokeo hayo, Wydad Casablanca imefikisha pointi 12 ikizidiwa moja na Raja wanaoongoza Botola Pro baada ya wote kucheza mechi tano. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AFUNGA BAO BAO PEKEE YASHINDA 1-0 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top