• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 27, 2020

  ARSENAL WAZINDUKA ENGLAND NA KUITANDIKA CHELSEA 3-0 EMIRATES


  MABAO ya Alexandre Lacazette kwa penalti baada ya Reece James kuchezewa rafu na Kieran Tierney dakika ya 34, Granit Xhaka dakika ya 44 na Bukayo Saka dakika ya 56 jana yaliipa Arsenal ushindi wa 3-1 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates.
  Ushindi huo wa kwanza kwa The Gunners kwenye mechi ya mashindano ya nyumbani tangu Novemba 1, unampa ahueni kocha Mikel Arteta sasa akifikisha pointi 17 baada ya mechi 15 na sasa wanashika nafasi ya 14, wakati Chelsea ya kocha Frank Lampard inabaki na pointi zake 25 baada ya mechi 15 katika nafasi ya saba
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAZINDUKA ENGLAND NA KUITANDIKA CHELSEA 3-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top