• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 26, 2020

  CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA 2-0 MAGEREZA CHAMAZI

  AZAM FC imesonga mbele Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Magereza, mabao ya Obrey Chirwa dakika ya 24 na Never Tigere dakika ya 65 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA 2-0 MAGEREZA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top