• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 19, 2020

  SIMBA SC WALIVYOFANYA MAZOEZI LEO HARARE KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA PLATINUMS JUMATANO

  Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akifanya mazoezi na beki Mkenya, Joash Onyango leo mjini Harare, Zimbabwe kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo. 

  Kiungo mpya, Mganda Thadeo Lwanga akifanya mazoezi leo kuelekea mchezo na wenyeji, FC Platinums Jumatano  ijayo

  Mshambuliaji Mkongo, Chris Mugalu akifanya mazoezi mjini Harare kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo. 

  Mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere akifanya mazoezi leo kuelekea mchezo na wenyeji, FC Platinums Jumatano  ijayo
  Nyota wazawa, beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' na kiungo Hassan Dilunga wakifanya mazoezi leo kuelekea mchezo na wenyeji, FC Platinums Jumatano  ijayo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOFANYA MAZOEZI LEO HARARE KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA PLATINUMS JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top