• HABARI MPYA

  Wednesday, December 23, 2020

  MESSI AMPIKU PELE KWA MABAO BARCELONA IKISHINDA 3-0 LA LIGA


  MUARGENTINA Lionel Messi amefikisha mabao 644 baada ya kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid kwenye LaLiga Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrill, hivyo kumpiku Pele  aliyefunga mabao 643 Santos ya kwao, Brazil.
  Messi alijiunga na Barcelona akiwa ana umri wa miaka 13 na akaanza kucheza mechi mashindano akiwa na miaka 17 , wakati Pele aliichezea Santos kuanzia mwaka 1956 hadi 1974 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AMPIKU PELE KWA MABAO BARCELONA IKISHINDA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top