• HABARI MPYA

  Saturday, December 26, 2020

  YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YATIMA NA WAGONJWA WA HOSPITALI YA MBOZI

  VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi walitoa zawadi katika kituo cha kulelea watoto yatima na hospitali ya Mbozi mkoani Songwe. 

  Yanga imeweka kambi Mbeya baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu SC kujiandaa na mchezo wao ujao dhidi ya Tanzania Prisons Sumbawanga mkoani Rukwa 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YATIMA NA WAGONJWA WA HOSPITALI YA MBOZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top