• HABARI MPYA

  Wednesday, December 16, 2020

  CHELSEA YAPIGWA MECHI YA PILI NDANI YA SIKU NNE ENGLAND


  TIMU ya Wolverhampton Wanderers jana imeichapa Chelsea 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux, West Midlands.
  Mabao ya Wolves jana yalifungwa na Daniel Podence dakika ya 66 na Pedro Neto dakika ya 90 na ushei, kufuatia Olivier Giroud kuanza kuwafungia Chelsea dakika ya 49, hicho kikiwa kipigo cha pili ndani ya siku nne baada ya Jumamosi kuchapwa 1-0 na Aston Villa 

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPIGWA MECHI YA PILI NDANI YA SIKU NNE ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top