• HABARI MPYA

  Friday, December 18, 2020

  SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA


  TIMU ya soka ya Tanzania imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya michuano ya CECAFA U17 baada ya sare ya 1-1 na Djibouti Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu, Rwanda. 
  Serengeti Boys iliyoanza na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Rwanda kwa ushindi huo, inafikisha pointi nne baada ya kucheza mechi mbili kwenye michuano hiyo ambayo bingwa wake atacheza fainali za AFCON U17 zitakazofanyika Julai mwakani nchini Morocco.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top