• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 15, 2020

  TAJIRI ALIYEWAHI KUWA MFADHILI WA KLABU YA YANGA, SUBHASH PATEL AFARIKI DUNIA DAR

  ALIYEWAHI kuwa mfadhili wa Yanga SC wakati fulani, Subhash Patel –mmiliki wa Kampuni ya Motisun Group na hoteli ya White Sands  amefariki dunia leo.

  TFF imetoa taarifa ya kusikitishwa na msiba huo na kusema kwamba Patel alikuwa akiwasaidia mno na wao pia – na mara ya mwisho aliwasaidia mno wakati wa fainali za AFCON U17 2019 zilizofanyika Dar es Salaam.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAJIRI ALIYEWAHI KUWA MFADHILI WA KLABU YA YANGA, SUBHASH PATEL AFARIKI DUNIA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top