• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 07, 2019

  SALAH AFUNGA LA TATU LIVERPOOL YAIPIGA AFC BOURNEMOUTH 3-0

  Wachezaji wa Liverpool wakipongeza kwa ushindi wa 15 mfululizo kwenye mechi 16, kufuatia kuwachapa wenyeji, AFC Bournemouth 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality, mabao ya Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 35, Naby Keita dakika ya 44 na Mohamed Salah dakika ya 54 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA LA TATU LIVERPOOL YAIPIGA AFC BOURNEMOUTH 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top