• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 16, 2019

  BEKI MGHANA, LAMINE MORO ALIPOREJESHWA RASMI YANGA SC KUENDELEA NA KAZI BAADA YA KUTISHIA KUONDOKA

  Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, beki Mghana Lamine Moro baada ya mchezaji huyo kukubali kubaki kuendelea kuitumikia klabu hiyo kufuatia awali kutaka kuondoka kwa sababu ya kutolipwa mishahara kwa miezi miwili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI MGHANA, LAMINE MORO ALIPOREJESHWA RASMI YANGA SC KUENDELEA NA KAZI BAADA YA KUTISHIA KUONDOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top