• HABARI MPYA

  Friday, December 20, 2019

  ARTETA ASAINI MIAKA MITATU NA NUSU KUIKOCHI ARSENAL

  Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Manchester City, Mikel Arteta akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kuthibitishwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na nusu kuwa kocha mpya wa klabu hiyo aliyowahi kuichezea, akichukua mikoba ya Mspaniola mwenzake, Unai Emery aliyefukuzwa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARTETA ASAINI MIAKA MITATU NA NUSU KUIKOCHI ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top