• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 10, 2019

  AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MECHI YA KUMKUMBUKA IBRAHIM JEBA ZANZIBAR

  Mabao ya Obrey Chirwa kwa penalti dakika ya 27 na Richard Ella D'jodi dakika ya 54 jana yaliipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Ulikuwa mchezo maalum wa kumkumbuka mchezaji wa zamani wa timu zote hizo, Ibrahim Rajab 'Jeba' aliyefariki dunia Septemba 18, mwaka huu visiwani Zanzibar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-0 MECHI YA KUMKUMBUKA IBRAHIM JEBA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top