Beki wa Tanzania Bara, Kelvin Yondan akiwa mazoezini leo mjini Kampala kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya wenyeji, Uganda kesho mjini humo
Beki wa kulia wa Kilimanjaro Stars, Mwaita Gereza akijifua leo kujiandaa na mechi ya kesho
Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakijifua vikali leo mjini Kampala
Mshambuliaji Ditram Nchimbi akijifua leo mjini Kampala kujiandaa na mechi ya kesho
Kiungo Muzamil Yassin akikokota mpira mazoezini leo mjini Kampala




0 maoni:
Chapisha Maoni