Marcus Rashford akishangilia na mchezaji mwenzake, Anthony Martial baada ya wote kuifungia Manchester United katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Colchester United kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao. Rashford alifunga dakika ya 51 na Martial dakika ya 61, wakati bao lingine Ryan Jackson wa Colchester United alijifunga dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment