• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 21, 2019

  JESUS 'AFUTA MKOSI' ETIHAD MANCHESTER CITY YASHINDA 3-1

  Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Manchester City dakika ya 69 hilo likiwa bao lake la kwanza kufunga nyumbani tangu Januari, timu hiyo ikitoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya Leicester City leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 30 na Ilkay Gundogan kwa penalti dakika ya 43 kufuatia Jamie Vardy kuitanguliza Leicester kwa bao la dakika ya 22 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JESUS 'AFUTA MKOSI' ETIHAD MANCHESTER CITY YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top